Pages

Tuesday, August 26, 2014

OMG!!!!!!!TAZAMA VIDEO YA SHILOLE NA NUH MZIWANDA WAKILA DENDA NDANI YA MAISHA CLUB KWENYE SHOW YA ‘Turn Down For What,’

  • Shilole aka Shishi baby pamoja na baby wake Nuh Mziwanda usiku wa jana katika ukumbi wa Maisha Club kwenye show ya ‘Turn Down For What,’ walifanya kile walichokifanya Jay Z na Beyonce jana hiyo hiyo kwenye tuzo za MTV VMA, yaani kuoneshana upendo hadharani kwa njia ya kula denda (kiss) jukwaani.

Shilole na Nuh Mziwanda ni miongoni mwa mastaa wa bongo flevah waliokinukisha na kuwapagawisha mashabiki waliofurika kwenye ‘Turn Down For What’, iliyoandaliwa na Diva Wild Events huku mtangazaji wa Ala Za Roho ya Clouds FM, Diva The Bawse ndiye alikuwa host wa show hiyo.
IMG-20140825-WA0001

jana
jana1
jana3

Saturday, August 23, 2014

SITTI MTEMVU NDIYE MISS TEMEKE 2014

MMGM3002
Mshindi wa taji la Miss Temeke 2014,Sitti Mtemvu akipungia mkono mara tu baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndie aliestahili kupata taji hilo katika shindano lililomalizika usiku huu kwenye Ukumbi wa TCC Club,Chang’ombe jijini Dar es salaam.Kushoto ni Mshindi wa pili,Salama Saleh na kulia ni Mshindi wa tatu,Neema Mollely.PICHA KWA HISANI YA MICHUZIBLOG

MMGM2844
Mwanalibeneke Othman Michuzi akimvisha taji la Michuzi Blog Miss Photogenic 2014 Mrembo Lilian Loth (9) kwa niaba ya Ankal,baada ya kuonekana ndie Mrembo pekee mwenye mvuto wa picha katika shindano la Miss Temeke 2014,lililomalizika usiku huu kwenye Ukumbi wa TCC Club,Chang’ombe jijini Dar es salaam
MMGM2906
Baadhi ya Warembo wa Miss Temeke 2014 wakiongozwa na Michuzi Blog Miss Photogenic,Lilian Loth wakiwa kwenye picha ya pamoja kusubiria kutangazwa mshindi wa jumla wa shindano hilo.

Friday, August 22, 2014

Q-CHILLAH AL MKATABA MNONO NA KAMPUNI YA QS


Mbongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ akipokea mkataba kutoka 'QS Mhonda J Company'.

BENDI YA TWNGA PEPETA WAFUNIKA KWENYE SHOW YAO YA MAISHA CLUB

  Haji Ramadhani(mwenye shati nyeusi), Luiza Mbutu (wa pili kutoka kulia), Kupaza (wa kwanza Kulia) wakiwa pamoja na waimbaji wenzao kwenye shoo iliyofanyika kwenye club ya Maisha jijini Dar 
Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Kalala Junior akicheza pamoja wacheza shoo pamojawakiwaburudisha mashabiki wao waliofika kwenye ukumbi wa Maisha jijininDar.

CHRISTIAN BELLA KUTOA BURUDANI YA KUFA MTU KATIKA FAINALI YA TMT TAREHE 30 AUGUST 2014 PALE MLIMANI CITY‏

Christian Bella 
Na Josephat Lukaza 
Msanii wa Muziki wa Dansi anayejulikana kama Christian Bella anayetamba na kibao chake cha Nani Kama Mama ni Mmoja wa Wasanii watakaotoa Burudani ya Kufa mtu katika Ukumbi wa Mlimani City Siku ya Jumamosi Tarehe 30 katika Fainali kubwa ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT).
Bella Amehaidi kutoa Burudani ya uhakika ambapo wapenzi wa muziki wake watafurahi na kufurahishwa na show atakayoitoa siku hiyo katika Fainali ya Kumkabidhi Mshindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) kitita cha Shilingi Milioni 50 za Kitanzania.
Katika Fainali hiyo inayotarajiwa kufanyika katika Ukumbi wa Mlimani City Siku ya Jumamosi tarehe 30 huku viingilio vya Kuja kutazama fainali ya Kwanza kubwa vikiwa ni V.I.P Shilingi 50,000 na Kawaida 30,000 huku fainali hiyo ikirushwa live kupitia Kituo cha Runinga cha ITV na milango itakuwa wazi kuanzia Saa 7.30 Usiku.

Monday, August 18, 2014

VIMWANA WA MISS TEMEKE HAWA HAPA,HATARI TUPUUUU


 Vimwana wa Miss Temeke 2014 wakiwa kwenye pozi la picha,ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao ya kuelekea kwenye kinyang'anyiro chao kitakachofanyika kwenye Ukumbi wa TCC klabu Chang'ombe jini Dar es Salaam Agosti 22,2014.Jumla ya washiriki 17 watapanda jukwaani siku hiyo kuwania taji hilo huku Globu ya Jamii ikimzawadia kitita cha Sh. Mil 1 Mrembo atakaeonekana ana mvuto wa picha (Miss Photogeni 2014).
Wakiwa wamepozi wenyewe.