Pages

Ads 468x60px

Featured Posts

Thursday, November 6, 2014

THANK GOD I'M FRESH BEACH PARTY@MBALAMWEZI BEACH THIS FRIDAY

The Official Inter College Fresher's Beach Party.... with Mbalamwezi's finest Dj Crew plus Live Performances ... the place to be this Friday

Monday, September 22, 2014

YAMOTO BAND YAZINDULIWA RASMI DAR LIVE

Dogo Aslay akiwapagawisha mashabiki wakati wa uzinduzi rasmi wa Yamoto Band.

Mashabiki wakiwa wamepagawa na burudani ndani ya Dar Live.


Yamoto Band wakilishambulia jukwaa la Dar Live wakati wa uzinduzi huo.


Monday, September 8, 2014

MASHINDANO YA DANCE YALIYOANDALIWA NA UDO YAFANYIKA KWENYE CLUB YA MAISHA JIJINI DAR

 Ton Dougue(katikati) akicheza  wakati wa ufunguzi wa mashindano ya Dance yaliyoandaliwa na UDO(United Dance Orgarnisation) yaliyofanyika kwenye club ya Maisha Club ya jijini Dar.
 Mc wa mashindano ya Dance, Jillah "The Boss" akifanya ya kwake kwenye stage ya Maisha Club ya jijini Dar. 


Wednesday, September 3, 2014

PICHA 30::SAUTI SOL, SKYLIGHT BAND NA YAMOTO BAND WAPAGAWISHA WAKAZI WA DAR BEAUTY and MUSIC NIGHT!

DSC_0437
Kundi la muziki kutoka nchini Kenya Sauti Sol waking'ara kwenye Red Carpet mwishoni mwa juma kwenye BEAUTY and MUSIC Night uliofanyika kwenye fukwe za Escape One Mikocheni jijini Dar.
DSC_0429
Petit Man (katikati) akishow love na wasanii wa bongo flava waliotumbuiza kwenye usiku huo maalum Kulia ni Mirror na Kushoto ni msanii wa bongo flava Jordan.

Friday, August 29, 2014

TWANGA PEPETA YAFUNIKA MBAYA KWENYE SHOW YAO YA KILA ALHAMISI MAISHA CLUB

  Kiongozi na mwimbaji  wa bendi ya 'Twanga Pepeta, Luiza Mbutu (katikati) akiimba pamoja na waimbaji wake kwenye shoo iliyofanyika kwenye club ya maisha jijini Dar

 Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Salehe Kupaza akiimba kwa hisia kubwa kwa mashabiki wao waliofika kutizama shoo yao ya nguvu kulia ni  Kiongozi na mwimbaji  wa bendi ya 'Twanga Pepeta, Luiza Mbutu.
  Haji Ramadhani(wa kwanza kulia) akiimba pamoja na waimbaji wenzake wa Twanga Pepeta kwenye club ya Maisha jijini Dar