YALIOJILI KWENYE USIKU WA VIUNO SHOW NEW MAISHA CLUB DAR
Snur sex kwenye viuno shw New maisha club ilikuwa hatari sana kiukweli
show ilikuwa hot mwanzo mwisho kila alikuwepo jana alikuwa anajua wazi
kuwa kilichofanyika ni sawa na pesa aliyolipia,majanga ilizinduliwa na
watu waliipokea vizuri sana.
hyperman hk akiwa na mwanae video queen wa wimbo wa professor jay kamili gado
Hapa nipo na watoto wangu zou kamili gado na Y tone mzee wa sijazoea masebene
Hapana chezea watu na sura zao umetisha mwanangu
super dansa wa snur sex
Wacheza show wa snura wakiwa back stage
Mwalimu wa viuno wa snur sex kutoka mombasa aliekuwa anacheza na moto
Pembeni namuona jay maswaga
Barnabas alikuwepo kama kawa na mpeli
Mzee wa masebene Y TONY akitunzwa baada yakukubalika sana usiku wa jana na wimbo wake wa mama zopilo
Mirror alitisha sana alipiga bonge moja la show yakinyama sana huyu dogo yuko juu sana
Snu sex
Mombasa moja hiyo
Mambo ya viuno vya moto
Chezea short people weweee
Mizuka imepanda mpaka watu wameshindwa kuvumilia wakajikuta wanatunza sana mahela
Suma mnazaleti alitisha mbaya kama SUPRISE ARTIST
Hapana chezea watoto wa ustaaz juma na musoma walifanya mambo makubwa sana
Pnc na dogo jana daima uwa wanalitumia vizuri sana jukwaa wakiwa wote jukwaani ufanya poa sana
Tunda man Alikuja kufunga show kwa show kali sana
capten wa bongo fleva Tunda man
Shelta the don nae alikuwepo maishani labda ulikosa wewe tu.
Nahodha WA MUZIK wa bongo fleva daima atakuwa juu kwa jinsi ya anavyojituma jukwaani
Imebuma iliwateka sana watu usiku wa viuno Pnc na dogo janja ni moja kati ya wasaniii waliotisha sana usiku wa jana
No comments:
Post a Comment