Pages

Sunday, December 15, 2013

TAZAMA PICHA JINSI DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOFUNIKA KWENYE SHOW YA XXL AFTER SKUL BASH JANA,NI NOMA SANAAA



After school bash!! tamasha kubwa la kila mwaka ,linalokuwa
 linawaunganisha wanafunzi  Town baada ya shule zao 
kufungwa hivyo kupata fursa ya  kujumuika  pamoja, pia  kuwakutanisha na wasanii
 wanaowapenda ,limemalizika

 usiku huu..WCB president na team yangu yoote tulikuwepo
 na tukawapa kile walichokikosa kwa mda 
mlefu wakiwa busy na masomo...
angalia baadhi ya picha za matukio hali ilivyokuwa
 Baada ya kuwasili....!!!with my personal bodyguard..call him Mwarabu

 Nikiingia eneo la tukio,viwanja vya Mbalamwezi beach
 Back stage With ma nicca,True Boy

Before hiting the stage,nikijadiliana jambo with XXL Princess,Dj Fetty
Bila shaka mwaelewa nini hutokea Tukikutana na huyu mtu stejini


 My brother on one n two,Romy Jones


love from the heart...........


 Baada ya kuwasili nyumbani



No comments:

Post a Comment