Pages

Sunday, November 3, 2013

YALIYOJILI CHID BENZ SHOW @MAISHA CLUB.


Licha ya  kuwa  ilikuwa ni shoo maalumu kwa mkali wa  michano Bongo Rashird Makwilo Chid  Benz, wakali kibao kutoka  tasnia ya muziki wa  kizazi kipya  Bongo walijitokeza kutoa  sapoti ya  nguvu kwa  nyota  huyo aliyewahi  kushinda  mara mbili  tuzo ya mwanamuziki bora wa Hip Hop hapa  Bongo.
Miongoni mwa  mastaa waliokuwepo kwenye shoo hiyo ni pamoja na mkali wa viuno Khalid Mohamed T.I.D 'Mnyamaa' , Albert Mangwea 'Ngwear' na  wengine  Kibao  shuhudia  kupitia picha  hizo

T.I.D mnyaamaa akiwakilisha

SARAHA WA  FUNDI SAMWENGA.... NAYE KAMA  KAWA ALITISHA

IZZO B.

(Mzee wa Bistola) 2NDAMAN  ALIKUWEPO

DALLAS (A.K.A SUMAKU) KAMA KAWAIDA NA TOTOZ  MBILI…

No comments:

Post a Comment