Unapozungumzia Mixing,Cutting na Scratching(mikuno) zilizoenda shule basi hutoacha kumtaja Dj summer,Jumamosi Ya Tar 30-11-2013 pale escape one kwenye fainali za Epiq bongo star search Dj summer atatimua vumbi la hatariiiii kwenye burudani.Hii si ya kukosa wala kusimuliwa ni vizuri ukajioneee mwenyeweee kwa macho yako!!!!!!SHHHHHHHHHH KAUSHAAAAAAAA!!!!!
Wednesday, November 27, 2013
DJ MKALI TOKA EAST AFRICA RADIO"DJ SUMMER" KUKAMUA KWENYE FAINALI ZA EPIQ BONGO STAR SEARCH JUMAMOSI HII PALE ESCAPE 1.
Unapozungumzia Mixing,Cutting na Scratching(mikuno) zilizoenda shule basi hutoacha kumtaja Dj summer,Jumamosi Ya Tar 30-11-2013 pale escape one kwenye fainali za Epiq bongo star search Dj summer atatimua vumbi la hatariiiii kwenye burudani.Hii si ya kukosa wala kusimuliwa ni vizuri ukajioneee mwenyeweee kwa macho yako!!!!!!SHHHHHHHHHH KAUSHAAAAAAAA!!!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment