Pages

Friday, December 20, 2013

CELEBRATE CHRISTMASS WITH DIAMOND @LEADERS CLUB!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!



Finaly!!!!!!..........I hope we ushacheza na kuimba saaaaana na Diamond... sasa hii ni maalum kwa Mtoto wako, Mdogo, Uncle, Aunty yako in short Family!...ni this wednesday 25/12/2013 Christmas katika kiwanja cha Leaders Club, itamwagwa Michezo yooooote ya watoto
ikiambatana na Burudani Kali toka @Wcb_wasafi ....ZINGATIA! Kuna kitu cha RedCarpert Maalum kabisa kwajili ya Watoto, hivyo hakikisha mwanao UnaMnyukisha vyakutosha!... Mvalishe kama Diamond, Aimbe kama Diamond, Acheze kama Diamond, Ikiwezekana hata nywele Kiduku cha njano kama Diamond.... Kwani nini si nini ama????? Sponsored by @Cocacolatz watoto Dressed by @babyishtz cc @iviewstudios

No comments:

Post a Comment