Pages

Tuesday, December 17, 2013

CLUB 71 PRESENT MAKOMANDO JUMAPILI HII TAR 22.12.2013 USIKOSEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


Mara ya Mwisho vijana hawa wawili wamedondoka Club 71 palikuwa hapatoshi. Ilipigwa Show moja ya Kipekee iliyojaa Shangwe kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Tukafundishwa jinsi ya kuicheza Kibaba Baba kwa mara ya Kwanza siku hiyo. Wao wakaondoka, Gumzo wakaliacha. Si wengine bali ni Wakali wa Kumiliki Stage Watoto wa "Simple the Boy" a.k.a.Makomandoo .Jumapili hii ya tarehe 22 Dec wanadondoka tena Mjengoni na kiingilio chetu ni kile kile 6,000 tu mlangoni unazama ndani. Njoo tucheze Pop yo color, Kibega, Simama na Hit Single yao mpya Kibaba Baba. Unakosaje sasa

No comments:

Post a Comment