Pages

Friday, January 10, 2014

HAWA NDO ...MASUPASTAA WADADA WA TZ WAKALI WA KUTOKELEZEA KWENYE CAMERA "PHOTOGENIC"...WACHEKI HAPA...!


Vibe inakuletea list ya mastaa wakali ambao wanapogusa camera au mtu yoyote kutaka kuwapiga picha basi tegemea picha moja kali sana na hii ndio maana nzima ya mrembo kuwa photogenic.Mastaa waliofanikiwa kuingia katika list ni :-
Jokate Mwengelo
 Linah Sanga
Elizabeth Michael (Lulu)
uwoya-copyright-www-vibe-co-tz
 Rita Paulsen
 Jackline Wolper
Wema Sepetu

No comments:

Post a Comment