Pages

Tuesday, January 21, 2014

Kaa tayari kwa ujio wa JAGUAR akimshirikisha OMMY DIMPOZ & AY


Beb7fy4IIAA_PBz.jpg large
Dakika kadhaa zilizopita kupitia account yake ya Twitter msanii kutoka Nairobi Kenya anajulikana kwa jina la JAGUAR amepost picha akiwa Studio za MJ Rec na wasanii wakubwa kutoka Tanzania Ommy Dimpozi pamoja na AY. Huku nikiyanukuu maneno yake aliyoyaandika
“In studio with A.y and Ommy dimples workin on a song comin out sooooon…thanx all for the support”
Inaonyesha kuna kitu kizuri kinapikwa hapo so mimi na wewe hatujui ni kitu gani ila tutulize masikio yetu tuone ni kitu gani hicho kitakuwa ndani ya collabo hili kutoka Kenya na Tanzania.
Beb7fy4IIAA_PBz.jpg large

No comments:

Post a Comment