Pages

Friday, January 10, 2014

Rich Mavoko, Nay Wa Mitego na Chege kuzindua video zao kwa pamoja weekend hii Ndani Ya club Bilicanas


IMG-20140108-WA0024

Nay Wa Mitego, Rich Mavoko pamoja na Chege wanatarajia kuzindua video zao kwa pamoja jumapili hii (Jan 12) katika ukumbi wa Billicanas. Video hizo ni ‘Nakula Ujana’ ya Nay, ‘Chapa Nyingine’ ya Chege pamoja na ‘Roho Yangu’ ya Rich Mavoko ambayo bado haijaanza kuoneshwa kwenye vituo vya TV.
Wasanii watakaosindikiza uzinduzi huo ni pamoja na Shilole, Amini, Recho na Linex.

No comments:

Post a Comment