Pages

Tuesday, February 11, 2014

KARIBU UFURAHIE SIKU YA WAPENDANAO NDANI YA KIOTA KIPYA CHA BNN LOUNGE AND RESTAURANT

Karibu usherehekee siku ya wapendanao kwa Kujipatia chakula cha jioni cha nguvu kwa hisani ya BNN Restaurant na BNN Lounge katika ukumbi mpya wa BNN Convention Hall uliopo Jengo la Quality Center Nyerere Road huku ukiburudishwa na bendi ya superstar Benga Africa Atomy Sifa kutoka Nairobi, Kenya . 

Huku Ukiburudishwa Na pia na mchekeshaji mahiri Master Mc Pilipili kwa kiingilio cha tsh 60,000/= tu kwa mtu mmoja na 100,000/=  kwa wapendanao . Zawadi zitatolewa . pata ticket yako sasa piga 0713501049  0682602809

No comments:

Post a Comment