Pages

Thursday, February 6, 2014

OMMY DIMPOZ AWASILI MAREKANI TAYARI KWA MAKAMUZI JUMAMOSI 8.02.2014.


 Juu na chini ni msanii anayekimbiza Bongo kwa sasa Ommy Dimpoz pozi kwa pozi akiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa San Francisco mara tu baada ya kutua California tayari kwa makamuzi ya nguvu siku ya Jumamosi Feb 8, 2014 ndani ya jiji la wajanja Oakland.

No comments:

Post a Comment