(Photo’s) The Making of Music Video “UAMINIFU” by BONGE LA NYAU feat. ALLY KIBA
Pichani ni Ali Kiba pamoja na Bonge la
Nyau wakiwa kwenye utengenezaji wa video mpya ya wimbo wao walioimba kwa
pamoja unaitwa UAMINIFU ukiwa ni wimbo wa Bonge la Nyau akimshirikisha
Ali Kiba. Video imetengenezwa na kampuni ya KWETU STUDIO.
No comments:
Post a Comment