HAYA HAYA WALE WAKIKENI KWA HESHIMA NA
TAADHIMA NAOMBA NIWATANGAZIE KUWA ILE EVENT,/TUKIO LA MWAKA LA WANAWAKE
LINALOENDA FANYIKA KWA MWAKA WATATU SASA HAPA JIJINI TUKISHEREHEKEA
SIKU YETU SISI KWA KUUMBWA WANAWAKE HIYOOOOOO LAJONGEA
NI TAREHE 8 MARCH SIKU ILE ILEEE MAALUM YA WANAWAKE WOTE DUNIANI AMBAYO ITAKUWA INASHEREHEKEWA DUNIA NZIMA NASI TUTAKUWA NAO SAMBAMBA
TUTALAKOENDA ANGAZIA SAFARI HII KATIKA SIKU YETU HIYO NI
‘KUONDOA AINA ZOTE ZA UKATILI NA UNYANYASAJI DHIDI YA WANAWAKE’
NA WAPO WATAKAOTUWEZESHA ….KAMA MNAVYOONA HAPO TUNAWEZA WATAKUWEPO KUFANIKISHA
KIVAZI /DRESS CODE /KIVAZI CHA KUTINGA SHUGHULINI NI ILE ILE:: AFRICAN PRINT VAA KITENGE/ KANGA/BATIK MRADI TOUCH YA KIAFIRIKA IHUSIKE
MAHALI ::DIAMOND JUBILEE VIP HALL
MUDA ::SAA 5 ASUBUHI HADI 2 USIKU
SIKU ::JUMAMOSI
TAREHE ::8 MARCH
WATAKAOPENDA KUSHIRIKI SHOPPING
BAAZAR ILI KUONESHA BIDHAA ZAO NA MAKAPUNI MBALIMBALI YANAKARIBISHWA
KATIKA KUFANIKISHA SHUGHULI HII PENDWA NA PEKEE YA SIE WAKIKENI
WASILIANA NASI ::0784 418941/0713 551077
BARUA PEPE :: shamyomy@yahoo.com /vituvyakhadija@yahoo.com
SIKU YETU …..SHUGHULI YETU ….KWA RAHA ZETU
KUBOOK MEZA YA WATU 10 (SHOSTITO TABLE) KWA 400,000 WASILIANA NA 0784 418941 MAPEMA
No comments:
Post a Comment