Pages

Monday, March 10, 2014

Diamond anaendelea na ujenzi, kaweka hizi picha nyingine Zitazamee...


Screen Shot 2014-03-10 at 3.25.40 PM
Diamond ni miongoni mwa wasanii wa bongofleva ambao wapo kwenye ujenzi wa makazi yao huku wengine tayari wameshamaliza na kuhamia ambapo mmoja wao ni staa wa ‘nani kamwaga pombe yangu’ Madee.
Kwenye ujenzi wa nyumba ya Diamond, nguvu zake nyingine kazielekeza kwenye ujenzi wa bwawa la kuogelea kama inavyoonekana kwenye hizi picha.
Wengine wanaojenga bado ni pamoja na Shilole.
Screen Shot 2014-03-10 at 3.25.51 PM Screen Shot 2014-03-10 at 3.25.28 PM Screen Shot 2014-03-10 at 3.25.18 PM


No comments:

Post a Comment