MMEMFANYA NINI NGULI PROFESA J MPAKA KAAMUA KUONGEA MANENO HAYA MAZITO
Sina
BEEF na msanii yeyote, mtangazaji yeyote wala media yeyote. ...ila
nasikia kuna watu wanatangaza kuwa wana beef na mimi. .. GOD nisamehe
wasije kunilaumu niki REACT!!!! Coz enough is enough!!Maneno hayo aliandika kwenye ukurasa wake wa facebook
No comments:
Post a Comment