Pages

Thursday, March 13, 2014

Ommy Dimpoz akiwa chini ya ulinzi wa polisi Uingereza.. making the video




Ommy Dimpoz amethibitisha kufanya video yake mpya nchini Uingereza chini ya director ambae amehusika kuzifanya video za mastaa kama Fuse ODG, Wizkid na Davido ‘skelewu’

Leo Dimpoz ameshea picha za sehemu ya video yenyewe ambazo inamuonyesha akiwa kwenye ulinzi wa askari wa Uingereza.

No comments:

Post a Comment