
Joh Makini, Nicki wa Pili na G-Nako wa kampuni ya Weusi na Hussein Machozi, jana waliiwakilisha Tanzania kwenye show ya kila Jumanne ya Wakilisha East Africa inayoandaliwa na mtangazaji wa Radio Citizen, Willy M Tuva na kufanyika Club Tribeka jijini Nairobi Kenya.
Jana kwenye show hiyo, Navio wa Uganda alizindua video ya wimbo wake mpya ‘Holding Me Back’. “Lengo ni kuusherehekea muziki wa Afrika Mashariki, kulea na kukuza vipaji,” Tuva ameiambia Bongo5. “Kwa ufupi tunatoa platform ya wasanii kuzindua videos au muziki wao. Ni sehemu ambayo celebrities na mafans wao wanakaa pamoja na hata kuburudika pamoja,” ameongeza. “My co-host huwa ni Fundi Frank. Ma DJs ni DJ Flash na DJ Crossfade na mara nyingine tunaalika guest DJs. Jana tulikuwa na DJ Creme De la Creme.”
Hizi ni picha za show hiyo

Hosts: Willy M Tuva na Fundi Frank

G-Nako akiwakilisha

Joh Makini na G-Nako

Dj Creme De la Creme

G-Nako

Joh Makini

Hussein Machozi

Navio






































credits: bongo5.com
No comments:
Post a Comment