skip to main |
skip to sidebar
PICHA YA KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN NA MWANAO
Marekani.
Bwana na Bibi wakiwa katika pozi, Wapenzi hao ni Kanye West na mke
wake, Kim Kardashian wakiwa na mtoto wao nyumbani kwao huko Marekani.
Mbali ya kuwa na majukumu mengi ya kimuziki na biashara, wapenzi hao
maarufu duniani- wameachana na mambo mengine na kuchukua jukumu la kuwa
karibu na mtoto wao kipenzi.
No comments:
Post a Comment