Pages

Friday, March 21, 2014

TAZAMA PICHA WADADA WALIVYOJIDABUA KWENYE USIKU WA BUNYERO BUNYERO ZA KIBAO KATA MAISHA CLUB



 Kila siku ya jumatano New maisha club imekuwa na utaratibu mpya kabisa waburudani ya kipekee kabisa, baada ya ile ya xtreme deejazy yakupiga disco na drums ambayo ndio burudani namba moja kwa sasa tanzania,  sasa inakuletea bunyero bunyero za kibao kata kiukweli hii ndio club pekee inayofanya mabadiliko ya club na hata burudani zake kila mwaka.aidia hii ya kibao kata walioipa jina ya bunyero bunyero za kibao kata imekuwa na wapenzi wengi sana na imekubalika kwa haraka sana hivyo mpaka baadhi ya sehemu zingine za kumbi za burudani nao kuonekana kuanza kuiga kutaka na kufanya kitu kama icho. ongera sana team marketing ya new maisha club kwa kubuni vitu vya kwetu kikwetu kwetu. ebu angalia video kidogo hapo kwa yalioili jumatano iliyopita halafu jumatano hii usikose maishani...kama kawa muendeleze wa picha la kutisha.





 TEAM CRAYZE nao walikuwepo full kujidabua
 Rihama ally nae alikuwepo pia alitoa yake ya moyoni kuhusu wote wanaodhania kwamba kibao kata ni uhuni, aliwapa ukweli na kuwaambia kuwa huu ndo mziki wetu na kiuno ndio hasili yetu,wacheni tukatikee
 Mkuu wa itifaki gilla akimwambia kijana wake wa kazi aongeze mike ingine kwa wapiga kibao kata hili tusikie vizuri maneno ya shombo.
 Mtoto fetty akiwa na mama naa pamoja na nai nai wakifatilia kwa makini kibao bunyero bunyero za kibao kata.


 Mchina alijulikana kwa jina moja la dong akijidapua na kabinti special kwenye kibao kata......

 watu wakijidabua kwenye kibao kata
 Boke akifatilia kwa makini kibao kata

 Queen happy akiwa na miss mtwara zuhura a.k.a zou kamili gado.jumatano iliyopita new maisha club


 Siku hiyo nzima mziki ni taarabu,mduara,arabik na miziki ya kimwambao tu

 Mabinti wakifatilia kwa makini kibao kata
 Hamza balla nae alikuwepo....
 zuhura gora anapenda sana kuchati zou kamiligado hapo itakuwa anaita mashoga zake waje wakionee bunyero bunyero.
 Lady naa a.k.a mutoto mlito yeye ndio alipewa nafasi yakuongelea maana ya jina la bunyero bunyero

No comments:

Post a Comment