Pages

Thursday, March 20, 2014

TAZAMA PICHA ZA GARI KALI NA LA KISASA LA MWANAMUZIKI JOSEE CHAMELEONE



Kutoka katika jarida la Forbes Jose Chameleon ameshika nafasi ya kumi (10) kama msanii tajiri zaidi Afrika, huku akiwa ni msanii peke yake kutoka Afrika mashariki, hii inamaanisha kuwa Jose Chameleon ndiye msanii tajiri zaidi Afrika Mashariki, Katika orodha hiyo ambapo wapo wakina D'banj, P-square na wengineo Jose alishika nafasi hiyo akiwa na thamani ya mamilioni ya dola za kimarekani.

Leo Swahilitz tumeamua kukuletea gharama ya usafiri au gari ya gharama zaidi anayomiliki Jose Chameleoni, Jose anamiliki gari aina ya Cadillac Escalade ambayo thamani yake ni zaidi ya Paundi elfu 83 sawa na pesa za kitanzania zaidi ya milioni 255

Hii ndiyo Gari anayomiliki Jose Chameleon
Jose Chameleon ndiye msanii mwenye jina na maarufu zaidi duaniani kwa upande wa Afrika mashariki.

kwa thamani ya gari hili la Jose Chameleon kibongo bongo unaweza kujenga nyumba za milioni 70 kama tatu na salio likabaki

No comments:

Post a Comment