Pages

Monday, March 17, 2014

TAZAMA PICHA ZA NYUMBA MPYA YA MSANII TEMBA WA TMK ALIYOKABIDHIWA NA SAID FELA



Hivi karibuni kiongozi wa kundi la TMK Wanaume Family Mkubwa Fela alitiririka kupitia mtandao wa instagram kuwa amemkabidhi mheshimiwa temba mjengo ambao uko Kimara Kilungule, na Temba si msanii wa kwanza kukabidhiwa mjengo na Fela, mpango huu umekaaje.Fela akafunguka ukubwa wa mjengo huo na thamani yake.

No comments:

Post a Comment