Pages

Thursday, April 10, 2014

AY azindua video ya wimbo wake nchini Kenya



74029c64bfc511e3898f0002c954d6b6_8
Timu nzima timu nzima ya show ya Mkasi ipo nchini Kenya kwa lengo moja likiwa kuangalia fursa zinazoweza kupatikana nchini humo kwa lengo la kutaka kupanua wigo wa kipindi hicho cha Mkasi. Timu hiyo inaongozwa na Ambwene Yessaya aka AY, Salama Jabir na Josh Murunga.
AY ametumia nafasi hiyo kutambulisha video yake mpya nchini humo. Video hiyo ilitambulishwa katika Club Tribeka na ilikua ikingozwa na mtangazaji maarufu kutoka Kenya ‘Willy M Tuva’. Mamia ya watu walijitokeza katika utambulisho wa video hiyo na mwisho wa siku AY alimaliza kwa kufanya show ya nguvu kwa mashabiki hao.

chanzo http://www.gongamx.com

No comments:

Post a Comment