Pages

Wednesday, April 16, 2014

JACKLINE WOLPER ANASWA KWA USAGAJI

Muigizaji maarufu ndani ya Bongo Jackline wolper amenaswa akijihusisha na usagaji na wanawake wenzie na tabia hiyo imekuwa kero kwa kuwa jamii yetu ya Kitanzania haina tabia hizo ambazo ni mila na desturi ambazo tunaiga kutoka mataifa ya magharibi.Kitendo cha usagaji cha Jackline wolper kimeoneshwa kwenye movie mpya ambayo itaachiwa hivi karibuni iitwayo "TOM BOY",Akiongea na mtandao wetu huu Camera man wa movie hiyo mpya Kabuti Onyango amesema ndani ya movie hiyo Wolper amecheza akiwa amebeba maudhui ya wanawake wasagaji na pia akaongeza na kusema kuwa wameamua kutengeneza movie hiyo ili kuweza kukemea tabia za usagaji ndani jamii yetu.Director wa movie hiyo pia akaongeza na kusema jamii yetu kwa sasa imeingiliwa na tabia zisizofaa na mbaya ambazo inatakiwa kukemewa na kupingwa kwani sio maadili yetu ya Kitanzania.
Hii ndio cover ya movie hiyo mpya ya Tomboy....

No comments:

Post a Comment