
Nipo nchini Nigeria kwa shughri za music
ikiwemo,kukamilisha collabo na baadhi ya wasanii
wa hapa nchini,lakini pia kushoot video ya wimbo
wangu mpya,na mapema leo niloifanyiwa
mahojiano na moja ya vituo vikubwa
kabisa vya redio hapa Nigeria,BEAT FM.
..endelea kutembelea this is diamond,facebook
fan page na account yangu ya instagram (@diamondplatnumz) kwa updates zaidi




with one of my dancer nilieongozana nae,Dumy

Dummy na Dj Fetty



Nikifafanua jambo
No comments:
Post a Comment