Pages

Sunday, April 6, 2014

TAZAMA PICHA ZA SHOW YA QUEEN DARLEN JANA CLUB BILICANAS NI NOMAAA!!!!!!!!!!!!!!!

BLOG blog0 BLOG1 BLOG2 BLOG4 blog8 BLOGGGG BLOGGGGN BLOGHGH
Queen Darleen akisalimiana na mdogo wake Diamond wakati alipokuwa akiingia Back Stage ya Club Bilicanas, show ilikuwa poa sana kila mtu aliyekuwa kwenye ratiba hakukosea pale alipopewa nafasi yake yakuimba. Watu walikuwa wengi sana na msanii Diamond yeye alikuwa kama surprise kwa mashabiki wa Queen waliofika usiku ule.

Picha kwa hisani ya http://thisisdiamond.com

No comments:

Post a Comment