Pages

Friday, May 9, 2014

MAANDALIZI YA MISS IFM MDA HUU,USIKOSE BAAADAE






Wakati mchakato wa kumtafuta miss wa chuo cha usimamizi wa fedhaukiendelea ikiwa leo ndio siku anayo patikana mlimbwende huyo atakaye nyakua taji la kuwa mlimbwende wa (IFM) jijini dar es salaam Huu ndio ukumbi unao andaliwa kwaajiri ya kutumika katika kumchagua miss IFM mwaka 2014 maandalizi ni mazuri katika ukumbi wa JB BELMONT HOTEL

No comments:

Post a Comment