Pages

Friday, May 16, 2014

Skylight Band wazidi kutikisa Jiji la Dar kwa Burudani, usikose Ijumaa hii Ndani ya Thai Village

 Kikosi Cha Skylight kutoka kushoto Ni Winfrida,Sam mapenzi Masamba wakianza kuamsha amsha ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita
 Sam Mapenzi akiimba kwa Hisia kali wimbo wa all of you wa john Legend ndani ya Thai Village
 Winfrida Richard Akiimba kwa hisia kubwa ndani ya Thai Village Ijumaaa iliyopita
 Mpiga Gita mahiri wa Skylight Band akizikung'uta nyuzi za gitaa hilo ipasavyoooooo
 Idrisa idrisaaa ma drummmm akicharanga vyombo kwa umahiri ili kuleta ladha mwanana kwenye muziki mzuri wa Skylight Band ndani ya Thai i village ijumaa iliyopita
 Wanaume wa shoka kutoka kushoto ni Joniko flower,Masamba na Sam Mapenziii wakiyarudi mauno ipasavyooo kuleta burudani kwa mashabiki wao ndani ya Thai Village
 Wewe weweee Jonikoooo akishika kichwa kwa muziki mzuri unatoka kwa wapiga vyombo wa Skylightband
 Masamba(katikati) wewe weweeeeeee acha kabisa usiguse moto wa vijana wa shoka hawa wa Skylight Band
 Jonikoo Jonikoooooo acha kabisaaa achaaaaa ,Masamba katikati akiyarudiiii masebeneee kwa raha ndani ya Thai Village ijumaa Iliyopita
 Aneth Kushaba acha kabisaaaa usicheze na moto huuuu,hapo akiyarudi mauno kwa umaridadi mkubwaaaa
 Kikukuuuu huyoooooo Ana manyoya huyoooooo Kwiooooo kwioooooo,hiyo ni staili mpya ya kikuku wakichezeshwa mashabiki wa Skylight Band
 Mikanda ya chuma chuma ehhhhhhhh chuma chumaaaaaa Joniko Flower akiwaimbisha mashabiki wake ndani ya Thai Village
 Ana manyoyaaaaa huyoooo Kwioooooo kwioooooooo hahahhaaha usicheze na moto wa Skylight Band hapo ni Aneth kushaba(katikati)na vijana wake Joniko Flower kushoto na Masamba
 Wadau wa Skylight Banda Dimo Debwe kushoto na Sillas Mbuya kati wakipata Ukodak
 Wnifrida na Donode Wakisaidiana kupiga zile Back Vocal ndani ya Thai  Village
 Donode akiyarudi mangomaa kuwapa raha mashabiki wake ndani ya Thai Village
 Diva mkali wa Skylight Band Winfrida akipagawisha mashabiki wakeee
 Winfrida akiimmba na kucheza kuwapa raha mashabiki wake ndani ya Thai Village
 We Donode we Donode hapo akichukua MIC baada ya mzuka kumpanda ili apige Vocal kali
 Mashabiki wa Skylight Band wakiruka mangoma makali yanayoporomoshwa na Band ya kijanja Skylight Band
 Viuno nyorotiiiiiiiiiiiiiiiiii vya wapenzi wa Skylight band wakiserebukaaa kwa raha zao
 Sam Mapenzi akiimba kwa mzukaaaa kuwapagawisha mashabiki wake
 Viunooooo Viunoooooooo haya twendeeee Viunooooo Viunooooooooo
 Viunooooo Viunoooooooo haya twendeeee Viunooooo Viunooooooooo
 Masambaaa akipagawishaaaa kwa Vocal kaliiiiiiiii
 Hapyyyyy Happyyyyyy Happyyyyyyyyyy mashabiki wakipagawishwa na mzuka wa wimbo wa happyyy
  Hapyyyyy Happyyyyyy Happyyyyyyyyyy mashabiki wakipagawishwa na mzuka wa wimbo wa happyyy
 Mdau wa Skylight Akipata ukodak na mbeibe wake kwa rahaaaaa zaooooooo
 Haya sasa Sugua suguaaaaaaaa mpaka moshiiii,,Joniko kwa mbaliiiii kushoto akiiimbisha mashabiki wake
  Haya sasa Sugua suguaaaaaaaa mpaka moshiiii,,Joniko kwa mbaliiiii kushoto akiiimbisha mashabiki wake
 Mguuuu pandeeee mguuuu sawaaaaa suguaaaa suguaaaaaaaa
 Mpiga Gita wa Skylight Band akionyesha umahiri wake wa kulicharaza gita hilooooo
 Nipe Tanoooooooooo we mdada mkali sanaaaaa unaimbaaaaa mpaka rahaaaaaaa,Shabiki akimpongeza Aneth kushaba baada ya kuguswa na mzuka wa sautiiii



 Shabiki huyu alishindwa kujizuia na kupanda stejini kucheza kikukuuuuuu
 Shabiki akizidi kupagawa na  ma vocal ya Aneth Kushaba rahaaaaa kweliiiiiiii
 Ali Remtulaaaa akifurahia muziki mkaliiiiiii wa Skylight bandaaaa
 Jamani hawaaaaaa Skylighttttt Bandddd ni balaaaaa Remtula akifurahiaaaaaaa
 Wazeee wa Jsb wakipata Ukoda kwa Rahaaaaaa Zaooooooooooo
Vijana wa manyoyaaaaa wakiwa na mkurugenzi wa Skylight Band Katikatiii wakipata Ukoda wa nguvuuuu

No comments:

Post a Comment