![]() |
| SHEREHE ILIANZA KWA DUA NA WIMBO WA BIRTHDAY ULIIMBWA MISHUMAA IKAZIMWA NK.. |
![]() |
| MISHUMAA IKIZIMWA NA MTOTO GLORY |
![]() |
| MAMA GLORY AKIMSAIDIA GLORY KUKATA KEKI |
![]() |
| GLORY AKIKATA KEKI |
![]() |
| WATU WALIANZA KUJICHANA KWA KEKI.. |
![]() |
| GLORY ALIENDELEA KUWALISHA KEKI WAGENI WAALIKWA NA KILA MTU ALIPATA KEKI NA SI RAHISI KUWEKA PICHA ZOTE KWANI WAGENI WALIKUWA NI WENGI SANA NA KUONA PICHA NYINGINE ANGALIA HABARI ILIYOPITA |
![]() |
| PACHA WA MH. VICKY KAMATA DADA YETU ANJELA MSANGI ALIKUA MC WA SHUGHULI HIYO NA ALITISHA SANA |
![]() |
| WATOTO PAMOJA NA MTOTO GLORY WALIANGUSHA SHOO YA KUFA MTU NI NOUMAA SANA |
![]() |
| WATU WAZIMA WALIUNGANA NA WATOTO KUCHEZA MUZIKI |
![]() |
| BAADA YA SHOO YA WATOTO PALIPIGWA SHOO ZINGINE MBILI KALI SANA JE UNAJUA NI SHOW YANANI NA NANI? VIJANA WA MBONA UNACHELEWA CHELEWA NA MH. VICKY WALISABABISH VYA KUTOSHA. |
![]() |
| VIJANA WA MBONA UNACHELEWA CHELEWA WAKIPIGA SHOO KALI SANA |
![]() |
| HII ILIKUA NI KWA MARA YA KWANZA MH. VICKY KAMATA KUFANYA SHOO YA WIMBO WAKE MPYA WA MOYO WA MTU KICHAKA |
![]() |
| SHOO KALI IKIENDELEA NA MWISHON MH ALIONGEA NENO MOJA TU, HUA HAFANYI SHOO HOVYO NA IKITOKEA AKAFANYA SHOO BASI NI SEHEMU ADIMU TU NA KATIKA MATUKIO ADIMU TU. |
![]() | |||||
| SHOO KALI YA MH. VICKY KAMATA IKIENDELEA |
![]() |
| HUYU NI MTOTO ANAYELELEWA NA VICTORIA FOUNDATION JAPO KUWA NI MLEMAVU LAKINI NI MPIGA PICHA MAKINI SANA NA ALIKUFANYA MAMBO MAKUBWA SANA |
![]() |
| WENGINE KILICHOTULETA HAPA ILIKUA MPUNGA NA WASAA WA MPUNGA UKAWADIA HAKIKA WATU WALIKULA NA KUNYWA |
![]() |
| WAGENI WAKISUBIRIA MPUNGA KWA HAMU SANA HUKU MEZA ZIKIWA ZIMETAPAKAA VINYWAJI VYA KILA AINA |




















No comments:
Post a Comment