Lile
shindano lako kubwa la Epiq Bongo Star Search imekaribia na litafanyika
pale kwenye ukumbi wa ESCAPE 1 na mshindi kuondoka na Mil 50 CASH.
Tiketi kawaida zitauzwa kwa sh elfu 20 na VIP zitakuwa sh elfu 50.
Wasanii watakaosindikiza shindano hilo ni
pamoja na Barnaba, Peter Msechu, Young Killer, Shaa, Water Chilambo,
Snura, Makomandoo pamoja na Bora Bora Band, kwenye mashine atakuwa DJ
SUMMER
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment