Pages

Sunday, November 24, 2013

TAZAMA PICHA::::P SQUARE WAFUNIKA MBAYAAAAAA

Wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Lady Jaydee (kushoto) akiimba sambamba na Professa Jay katika tamasha la burudani lililofanyika katika viwanja vya Leadars Club Kinondoni
Mwanamuziki wa kundi la P square, Peter Okoye, akitoa burudani ya aina yake kwa maelfu ya Mashabiki waliojitokeza katika viwanja vya leaders club, Tamasha hilo lilidhaminiwa na Vodacom Tanzania burudani hiyo ya karne ilitolewa kwa mashabiki wa muziki pale leaders club.
 Mwanamuziki wa kundi la P square, Peter Okoye, akionesha uwezo wa kulimudu gitaa tofauti na kuimba tu, wakati wa tamasha la burudani lililofanyika katika viwanja vya leaders club, Wasanii hao mapacha walikonga nyoyo za maelfu ya mashabiki waliojitokeza katika Tamasha hilo lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania.


Mashabiki waliojitokeza katika tamsha la wasanii kutoka nchini Nigeria 
Msanii Judith Wambura, Lady jay dee akiteta jambo na wasanii wa musiki wa kundi la P-Square kabla hawajapanda jukwani na kutoa burudani kali kwa maelfu ya mashabiki waliojitokeza katika Tamasha hilo lililofanyika viwanja vya leaders club na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania

No comments:

Post a Comment