Ya
kwanza ni video ya wimbo wake aliofanya na Ricky Martin uitwao
“Adrenalina.” Na baadaye huko Fort Lauderdale, Florida JLO na Pitbull
walishoot video ya wimbo wao maalum wa kombe la dunia Brazil 2014, “We
are One (Ole, Ola).” Video hiyo ilifanyika jijini Miami.
Tazama picha hapa chini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment