Kanye West amepigana na waandishi wahabari pamoja na mapaparazi akijharibu kuzuia wasimpige picha yeye na mchumba wake Kim Kardashian hadharani wakati mahusiano yao yakiwa yamekolea mwaka jana.
Pia alimshambulia kijana mdogo aliyekuwa anamtania msichana wake kwa kumuita majina ya ajabu mbele yake. Yote tisa, kumi ni kile kibano alichompa mwandishi wa habari uwanja wa ndege alipowasili Los Angeles mwaka jana.

Alimshambulia Ramos na kumpiga katika uwanja wa ndege wa LAX mwezi
agosti mwaka jana sababu paparazzi huyo alikuwa anampiga picha.
Zaidi ya hilo Kanye pia ametakiwa kuhudhuria vipindi 24 vya tiba ya
hasira (anger management sessions), pamoja na miaka 2 ya huduma kwa
jamii. Anatakiwa kujipeleka mwenyewe polisi ili apangiwe utaratibu
No comments:
Post a Comment