Pages

Wednesday, March 19, 2014

Yaliojiri kwenye POOL PARTY pale KD HOTEL

?????????????
Katika mwendelezo wa Swimming Pool Party inayofanyika kila siku za Jumamosi na Jumapili hizi ni baadhi ya picha za matukio ya jana tarehe 15 mwezi huu. Kama hujawahi kufika KD Hotel iko barabara ya Akachube ukiulizia tu wala hupotei, Ijumaa ni LADIES FREE ila boys wanalipia elfu 5 na Jumamosi kama kawa halafu Jumapili ni family day kwa kiingilio cha elfu 5.
picha na dj choka

????????????? ????????????? ????????????? IMG_0010 IMG_0012 IMG_0016 IMG_0018 IMG_0125 IMG_0146 IMG_0147 IMG_9941 IMG_9951 IMG_9986 IMG_9991 IMG_9997

No comments:

Post a Comment