Pages

Monday, April 21, 2014

SHOW YA WEUSI NDANI YA DAR LIVE

20140420_233829
Usiku wa kuamkia leo nikimaanisha jana pale Dar Live kwenye sikukuu ya Pasaka lilifanyika bonge moja la show kutoka kwe kundi la mziki wa Hip Hop hapa Bongo wakijulikana kama WEUSI. Show ilianza kwa kufunguliwa na Joh Makini baadae akaja G-Nako halafu wakafunga na Nikki wa II. Hizi ni baadhi tu ya picha nilizozipiga kwa njia ya simu yangu kuwaonyesha wadau wangu. PICHA NA Djchoka
20140420_235315
G-Nako & Joh Makini wakiwa backstage ya Dar Live usiku wa jana
20140421_005533 20140421_005539 20140421_005551 20140421_005621 20140421_005627

No comments:

Post a Comment