Pages

Monday, June 9, 2014

KUMBUKUMBU YA NGWAIR YASINDIKIZWA NA BONGE LA SHOO DAR LIVE




Rafiki kipenzi wa marehemu Ngwea, Dark Master (kulia), akirap.

Inspector Harun (kushoto) na KR wakilishambulia jukwaa.

Baadhi ya mashabiki kutoka Mkoa wa…
Rafiki kipenzi wa marehemu Ngwea, Dark Master (kulia), akirap.
Inspector Harun (kushoto) na KR wakilishambulia jukwaa.
Baadhi ya mashabiki kutoka Mkoa wa Dodoma.
M to the P mshikaji wake Albert Mangweha aliyekuwa naye Afrika Kusini.
Gnako''G Warawara'' ndani ya Dar Live kumkumbuka Mwanachemba Squad.
Mnyama TID akiwaimbisha mashabiki.
Ukumbi ukizizima kwa shangwe baada ya kupigwa ngoma za Ngwea.
Nako 2 Nako wakifanya makamuzi.
Miss Tanzania 2000, Rashida Wanjara naye alikuwepo.
Mohamed Said ''Ngwea'' shabiki ambaye aliwapagawisha mashabiki kwa kuimba na kwa kufanana na  marehemu Mangweha.
UMATI mkubwa wa mashabiki jana ulijitokeza kumkumbuka mwanamuziki  mkali wa ‘free style’ nchini Tanzania, marehemu Albert Mangweha aliyefariki mwaka mmoja uliopita nchini Afrika Kusini na kuzikwa Kihonda, Morogoro.
(Picha: Gabriel Ng’osha , Denis Mtima na Bukos/GPL)

No comments:

Post a Comment