Pages

Thursday, April 24, 2014

HII NDIO VIDEO MPYA YA NYANDU TOZI FT MR BLUE MAMBO MENGINE BAADAE NI KALI BALAAA

 Video Iliyo Make HeadLine Leo ni Hii NYANDU TOZI FT MR BLUE, IVA SON & USWEGE

Leo kupitia kipindi cha XXL on Clouds fm Rapper Nyandu Tozi wa B.O.B Click ame achia Ngoma mpya inaitwa Mambo Mengine Baadae amemshirikisha swahiba wake wa kitambo kutoka Micharazo Mr Blue pamoja na wasanii wawili wapya kwenye game ya bongo flava Iva Son na Uswege, Nyandu pia amerelease Video ya ngoma hiyo iliyofanywa na Nick Dizzo,
Nyandu Tozi na MR Blue

Nyandu Tozi

No comments:

Post a Comment