Pages

Thursday, April 24, 2014

KAJALA NA MWANAE KUFUNGUKA NDANI YA CLOUDS FM KUHUSU UGOMVI WAKE NA WEMA.LEO USIKOSE



 "KESHO kwenye MOVIE LEO ndani ya LEO TENA ya Clouds FM!! usikose kusikiliza... Mtoto wa KAJALA aamua kufunguka kuhusiana na mambo yanayoendelea kuhusiana na ugomvi kati ya mamaake na rafiki yake ambae ni WEMA SEPETU.. saa NNE na dk 45 asubuhi siku ya KESHO!! Lakini zaidi JUMANNE hii ndani ya TAKE ONE tutakuwa na EXCLUSIVE INTERVIEW na KAJALA MASANJA ambapo atavunja ukimya kuhusiana na YOTE yanayoendelea kwa sasa!!! Kisa hasa ni NINI!!!!??? Ni kweli kwamba amemzunguka Rafiki yake kama inavyosemwa!!?? Kisa ni nini hasa!!? Yote haya na mengineyo ni WIKI IJAYO JUMANNE saa TATU kamili Usiku ndani ya clouds TV ila kwa kesho tumsikilize Baby Paula anazungumziaje haya yote kuhusiana na mamaake!!!?? Tukutane saa Nne na dk 45 ASUBUHI on CLOUDS FM!!" 

No comments:

Post a Comment